

Kitabu cha Swala na kuswali
























Hiki ni kitabu kitakachokupa mafunzo ya swala, namna ya kuswali kama alivyoswali Mtume Muhammad (s.a.w) na masahaba zake. Utajifunza:- 1. Jinsi ya kutia udhu 2. Kuondoa najisi 3. kuoga na kujitwaharisha 4. Sharti za swala 5. Nguzo za Swala 6. Dua za kwenye swala 7. tahiyatu 8. Swala ya Mtume 9. Dua baada ya swala 10. Yanayoharibu swala 11. Sunnah za swala Kama utaona kuna makosa yeyote ya kiuadhishi ama kifahamu, tafadhali wasiiana nasi.